by Sayyid Muhammad al-Husaini al-Shirazi ยท
ISBN: 9987512216 9789987512218
Category: Unavailable
Page count: 35
<p>Kijitabu hiki ambacho kimepambwa kwa jina la Fatima Zahra (s.a.), binti wa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), ni kati ya mihadhara ya thamani ya marehemu Imam Muhammad al-Husaini al-Shirazi (Mwenyezi Mungu amrehemu). Ni kitabu cha aina yake katika lugha ya Kiswahili kinachoelezea maisha ya Bibi huyu mtukufu mwenye nuru.</p><br>